M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,266 Reaction score 3,698 Mar 29, 2024 #1 Habar wakuu napenda kujua kiwango cha mapigo ya moyo kuwa chini hutokana na nini...
ISO M.CodD JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 7,845 Reaction score 16,942 Mar 29, 2024 #2 Mapigo ya moyo ya watu wa mazoezi na ambao moyo uko fit sana wakiwa wametulia (resting heart rate) huweza kuwa hata mapigo 40 kwa dakika Mwili wa binadamu usiangalie kipimo kimoja tu, lazima uangalie vingi kupata picha kamili.
Mapigo ya moyo ya watu wa mazoezi na ambao moyo uko fit sana wakiwa wametulia (resting heart rate) huweza kuwa hata mapigo 40 kwa dakika Mwili wa binadamu usiangalie kipimo kimoja tu, lazima uangalie vingi kupata picha kamili.