Kiwango cha Shomari Kapombe kimepanda tena, Shida ilkuwa nini?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu
Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza matumaini kwake.

Chini ya kocha mpya kapombe yule wa.kipindi kileee tunamwoma tena V pass.kama kawa ..anapamda anashuka. Vizuri tu.

Je alikwama.wapi. au alikuwa na wachezaji wabovu akashindwa kung'ara.mda.wote.walikuwa wanashambuliwa.na akaonekna kichochoro
 
Mjifunze kuwa na subira washabiki mazuzu wa simba na yanga(sio wewe mkuu)

tatuzo la mashabiki hawana subira na wanashindwa kujua wachezaji nao binadamu wana miili ya nyama na wana matatizo ya kifamilia sometimes.
 
Kwenye kushambulia,kuanzia mstari wa kati kupandisha timu juu,kapombe ubora wake haujawahi shuka misimu yote, uwa unashuka baadhi ya misimu huku kwenye kuzuia tukiwa tunashambuliwa.
 
Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu
Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza matumaini kwake.

Chini ya kocha mpya kapombe yule wa.kipindi kileee tunamwoma tena V pass.kama kawa ..anapamda anashuka. Vizuri tu.

Je alikwama.wapi. au alikuwa na wachezaji wabovu akashindwa kung'ara.mda.wote.walikuwa wanashambuliwa.na akaonekna kichochoro
Kama Aziz Ki tuuu
 
Kapombe na Mohamed Husen wote uwa wanapewa mechi za msimu wakicheza na Yanga yenye Top quality player with speed control and efficient na uwa wanaonekana wazee na wasiofaa.
Ni mara chache kuwaona wakivuka mstari wa kati ya uwanja kwenda kushambulia.
Bado ata wakiwa nyuma uwa haiwazuii Yanga kuwa nyanyasa na kupata wanachokitaka.

Kuna Mechi timu nzima ya Simba ilikua nyuma ila Yanga walipiga pasi zaidi ya 12 na kwenye ukuta wa Simba wenye wachezaji 9 na wakafunga goli uku Kapombe akishika kiuno.

Kapombe anakua bora akipewa uhuru wa kushambulia, ila akikutana na Timu imara kama Yanga anaonekana mzee asiye na msaada.
 
mhi kwa hiyo yanga ndiyo mfano wako, hujaona huko champions anavyowakimbiza
 
Champions ndio wapi? Siku zote ukitaka kujua uimara wa wachezaji wako uwa angalie kwenye mechi ngumu na zilizo na wachezaji bora ki ufundi uwanjani.
Utaiona Mobility ,creativity and Ball Brain ya mchezaji.
 
Back
Top Bottom