The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Hao si gull backsThierry Manzi.
Abdelhay Forsy.
Mjifunze kuwa na subira washabiki mazuzu wa simba na yanga(sio wewe mkuu)Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu
Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza matumaini kwake.
Chini ya kocha mpya kapombe yule wa.kipindi kileee tunamwoma tena V pass.kama kawa ..anapamda anashuka. Vizuri tu.
Je alikwama.wapi. au alikuwa na wachezaji wabovu akashindwa kung'ara.mda.wote.walikuwa wanashambuliwa.na akaonekna kichochoro
Dogo mpambanaji sana,simba inapasa dogo wampe mshahara mnono kwakweli,Mohamed Hussein Yeye Ndio Hataki Utani Kabisa Kwenye Nafasi Yake
Kama Aziz Ki tuuuNi wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu
Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza matumaini kwake.
Chini ya kocha mpya kapombe yule wa.kipindi kileee tunamwoma tena V pass.kama kawa ..anapamda anashuka. Vizuri tu.
Je alikwama.wapi. au alikuwa na wachezaji wabovu akashindwa kung'ara.mda.wote.walikuwa wanashambuliwa.na akaonekna kichochoro
Wanajituma sana na wanabidii na mazoez hasa Mohammed HusseinMapacha Wawili Walioshindikana...
Shomari Kapombe na Mohamed Hussein Tshabalala.
mhi kwa hiyo yanga ndiyo mfano wako, hujaona huko champions anavyowakimbizaKapombe na Mohamed Husen wote uwa wanapewa mechi za msimu wakicheza na Yanga yenye Top quality player with speed control and efficient na uwa wanaonekana wazee na wasiofaa.
Ni mara chache kuwaona wakivuka mstari wa kati ya uwanja kwenda kushambulia.
Bado ata wakiwa nyuma uwa haiwazuii Yanga kuwa nyanyasa na kupata wanachokitaka.
Kuna Mechi timu nzima ya Simba ilikua nyuma ila Yanga walipiga pasi zaidi ya 12 na kwenye ukuta wa Simba wenye wachezaji 9 na wakafunga goli uku Kapombe akishika kiuno.
Kapombe anakua bora akipewa uhuru wa kushambulia, ila akikutana na Timu imara kama Yanga anaonekana mzee asiye na msaada.
Thierry manzi full back wa kulia.Hao si gull backs
Hapo kwa forsy ni sawa maana ana speed kuliko ahuoaThierry manzi full back wa kulia.
Abdelhay forsy kiungo namba 10.
Kama simba tutawapata hawa hakuna wa kutusumbua afrika hii.
Inabidi tuanze kumtafuta mrithi wa kapombe mapema coz mwamba maji ya jioni.Hapo kwa forsy ni sawa maana ana speed kuliko ahuoa
Champions ndio wapi? Siku zote ukitaka kujua uimara wa wachezaji wako uwa angalie kwenye mechi ngumu na zilizo na wachezaji bora ki ufundi uwanjani.mhi kwa hiyo yanga ndiyo mfano wako, hujaona huko champions anavyowakimbiza