Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo katika East Africa inashika mkia?
Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa!
nafasi ya kisoka duniani:97
nafasi ya soka kwa afrika:23
nafasi ya kisoka east afrika:3
tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL