Teamo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2009 Posts 12,271 Reaction score 1,052 Jul 1, 2009 #1 Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL
Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,468 Reaction score 2,349 Jul 3, 2009 #2 Kwa hiyo katika East Africa inashika mkia?
E Euler New Member Joined Jun 3, 2009 Posts 3 Reaction score 0 Jul 3, 2009 #3 Kibunango said: Kwa hiyo katika East Africa inashika mkia? Click to expand... Kuna nchi zaidi ya tatu east Africa.
Kibunango said: Kwa hiyo katika East Africa inashika mkia? Click to expand... Kuna nchi zaidi ya tatu east Africa.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Jul 3, 2009 #4 Geoff said: Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL Click to expand... tunaomba sorce mzee... nataka niangalie kama wahindi tumewazidi au bado wanatutesa hadi kwenye soka.
Geoff said: Hizi ni records mpya za viwango vya uchezaji vya timu za taifa mara baada ya mechi nyingi za kimataifa! nafasi ya kisoka duniani:97 nafasi ya soka kwa afrika:23 nafasi ya kisoka east afrika:3 tuwashukuru sana FIFA kwa kutupanga na NEW-ZEALAND!LOL Click to expand... tunaomba sorce mzee... nataka niangalie kama wahindi tumewazidi au bado wanatutesa hadi kwenye soka.