K kondeni Member Joined Aug 13, 2012 Posts 5 Reaction score 0 May 16, 2013 #1 Naomba kuuliza wapi kuna kiwango cha sukari zaidi kati ya chai na bia. Ambacho kinaweza kuathiri kiasi kilichopo mwilini. Chukulia bia kama Tusker,Killi,Serengeti..... Ahsante.
Naomba kuuliza wapi kuna kiwango cha sukari zaidi kati ya chai na bia. Ambacho kinaweza kuathiri kiasi kilichopo mwilini. Chukulia bia kama Tusker,Killi,Serengeti..... Ahsante.
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 May 16, 2013 #2 soda zina sukari nyingi,tumia chochote kile kwa kiasi,