Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Ikiwa zimebaki wiki chache vijana wa kidato cha nne kufanya mitihani ya form 4
akiongea katibu wa balaza la mitihani ukitofautisha miaka ya 2000 hadi 2013 idadi ya vijana wa mitihani ya kujitegemea yaani private candidate imeshuka hadi asilimia 67.8
hii ina maana ipi watu wamechoka kurudia mitihani....au baraza la mitihani lenyewe tuuu source ;majira