Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Asilimia 67.8 ya nini? Ya kiwango cha 2000? Ya kiwango cha 2003? Ya kiwango cha 2000-2003? Kiwango kimeshuka kwa asilimia 67.8 au hadi asilimia 67.8?
Heading ya thread na body haviendani.
Na vyote havieleweki.
Vijana wamechoka kurudia mtihani, wanaona bora wapige certificate tu
Vijana wamechoka kurudia mtihani, wanaona bora wapige certificate tu
kiwango cha vijana kufanya mitihani inashuka miaka zaidi ya miaka