Kiwango changu cha kucheza pool table huimarika zaidi napokuwa nimestuka bia kadhaa

Kiwango changu cha kucheza pool table huimarika zaidi napokuwa nimestuka bia kadhaa

sakwano

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
303
Reaction score
830
Yani kifupi nikinywa kidogo najikuta napiga table hatari ...nikishika stiki basi naweza kuwabadilisha wachezaji hadi nikachoka

Uzi tayari
 
Write your reply... UJINGA.POOL TABLE NI UPUUZI
 
Bado kuna watu wanacheza huu mchezo?
 
Back
Top Bottom