Elections 2010 Kiwango gani cha elimu kinastahili mtu kuwa kiongozi?

Elections 2010 Kiwango gani cha elimu kinastahili mtu kuwa kiongozi?

Masauni

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2010
Posts
386
Reaction score
58
Nimeshtushwa sana na baadhi ya watu nadhani ni mashabiki wa CCM ambao wamekuwa wanasema viongozi wa chadema wanaelimu ndogo. Naomba kuuliza kutoka kwa mashabiki hao wenye shahada the so called 'Masters' and 'PhD' mambo yafuatayo:
1. Mtu anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu ili aitwe kiongozi au mwanasiasa?
2.unatakiwa uchukue degree gani ili uwe kiongozi.
3.Naomba wanipe mifano hai ya viongozi(raisi/prime minister)mahali popote duniani ambao walishindwa kuongoza nchi na ikathibikika ni kwa sababu ya elimu yao ya chini au kutokuwa na elimu kabisa?

NB: Mkishindwa kujibu maswali yangu hayo naomba mkae kimya msilite ushabiki usiokuwa na maana, leteni hoja zenye nguvu tujadili na si hoja dhaifu.
 
Elimu ni moja ya kigezo muhimu kwenye kuteua viongozi ambao wanao elewa ni nini wanachokifanya. Hila dunia ya leo atuitaji mtu mwenye elimu tu ili tupate kiongozi imara. Ukizingatia wengine wanamaliza elimu za juu kwa sababu wametoka kwenye familia zenye uwezo wa kimaisha kuweza kuelimishwa mpaka elimu za juu au hata tukitumia mifano ya viongozi wetu wa leo wengine ni baadhi ya yale magarasha aliyoyatengeneza Mwalimu without intellectual abilities bali to fit the social representation na abilities zao ndogo zinaoneka kwani ndizo zinaipeleka Tanzania kwenye umaskini.

Kwanza lazima uelewe Mwalimu mwenyewe ni product of colonial thinking ambayo ilielewa kuwa African independences were bound to occur at the time especially after lessons colonial master had learned from India, North African states (hilo somo lingine) and by the time of 'Suez Canal' crisis together with the 'Mau Mau war' they knew their days were numbered.

Ila kwa kuwa Mzungu si mtu wa kukurupuka bali ni mtu wa kufikiria alianza rasmi kusomesha Waafrica from the late 30's. Baada ya kusoma alaka za nyakati knowing watakapotolewa Africans tuwe na leadership ambayo, come what may be expected african nations zipo capable of handling the state on their own.

Hapo ndio waliobahatika walipelekwa kusoma it doesnt mean they were the brightest of our bunch including Mwalimu si ajabu akafeli miserably in his reign. Hila he was clever enough to outwit others in gaining leadership in Tanzania mainland and later uniting with the isles around us (kwani Zanzibaris are part of Tanzanians just as Hong Kong is part of China historically) ni hapo ndipo elimu ilipo saidia ukikutana na wasio elimika kabisa.

Kinachoitajika baada ya elimu ni mtu ambaye ana natural inetelligence na ameipata hiyo elimu ki uwezo wake zaidi kuliko mfuko wa familia yake kumwezesha kufika alipofika au bahati kama aliyo ipata mwalimu (ninayo mifano mingi tu ya watu ninaowajua wenye elimu za juu lakini kwa kweli uwezo wao ni mdogo sana au hata wanaogombea uongozi leo tanzania kwa sababu ya uwezo wa kifamilia mfano majina kapuni) hila aina maana wengine wanaotoka from privileged families hawana uwezo huo wakuongoza.

Kiongozi imara au msomi wa maana ni yule mmbunifu baada ya elimu yake, na si wale wanao tumia vitabu kila mara for referrences hao ni just bookish who havent formulated their own arguments and can not be imaginatives given new situations kwa kutumia lines of reasoning walizo fundishwa vyuo (tunao wengi tu Tanzania apparently, sasa usishangae umaskini wetu wala kutoelewa msomi wa maana ni yupi) ukitoa wale wanaonyimwa nafasi ya kutoa mapendekezo yao kwa mujibu wa 'Felister' the JF member anae argue everday wasomi wetu wa maana wanabwana Tanzania.

Tatizo letu sisi kwetu bado tunaangalia msomi especially kwenye kuteua uongozi wa ngazi za juu (through certificates) i dont know if its due to scarcity of them or pure ignorance on what one boosts about (bearing in mind we have many who have been left dormant since Mwalimu's reign kwa uroho wake wa madaraka), hila nikupe mfano wa waingereza wenzetu hawaangalii hilo kabisa in their selection processes.


Kwa kuwa kuna wasomi wengi with different family background attention inapewa kwa viongozi wanao shamiri bungeni, how well they can defend party lines, policies, their personal lifestyle (to fit the norm) and ofcourse their education back ground (moderate is accepted in most cases).

Hili linasaidia kujua yupi mwenye uwezo hata akipewa uongozi wa juu serikalini through parliament debates cause he/she has proven can defend the party thinking and therefore capable of leadership worth of senior ranking in the government. Hivyo si rahisi kupata kiongozi kama raisi wetu anae ongopewa kila kukicha (maana yake uwezo ni mdogo tu, only in the third world can that stupidity occur).

Na vilevile the selection process is made easier hata kwenye primaries za ubunge kwa sababu hata party members wanaopiga kura in the process most them in many cases nao ni wasomi au ni wenye elimu ya siasa kiasi fualni; hivyo uangalia track records za candidates na kwa kuwa wagombea wengi huja kwenye politics after succesful proffesionals backgrounds in their earlier working lives ni raisi kupata the likes of 'Mabere Marando's' vocals who know what they on about. Hivyo hata bunge uzalisha ushindani wa vipaji hili kuteuliwa waziri au kuwekwa kwenye committee fulani lazima ujue the scores.

Bado ujarudi kwenye jamii iliyojaa wasomi ambao wanaelewa kuwa mmbunge ni rep wao and nothing else, hivyo umtumia ipasavyo kwa kumuandikia mibarua kebekebe hawasaidie vipi au aulizie concerns zao bungeni. Hii umfanya mmbunge automatically kujuaa asipo wasikiliza waliomteua ipasavyo coming the next election he/she is out.

That is to say uelevu wa siasa unahitajika kuweza ku deal na constituency yako hivyo more knowledge is required if you were not a career politician. Point hapa ni hivi elimu pekee ulioitaja si kitu bali lazima kujua kitu gani unafanya kwenye siasa despite the education sasa sijui darasa la saba atafanya nini au msomi mwenye cheti tu ambaye haja prove kuwa na credentials za uongozi hata saidia vipi. Worst hili tuweze kuwawajibisha tunahitaji kuwa na elimu ambayo hiko better kuliko whats on offer currently. Ndio ujue tunahitaji mzalendo mwenye elimu fulani hata kama ni fair, first more than anything hili kuweza kuwatayarisha watanzania more than anything currently for them to understand their rights.

Sitaki ata kukufafanulia mwalimu katuangusha vipi ndio ujue hata yeye uwezo wake ulikuwa ni mdogo sana despite his educational background, hivyo tanzania bado atuna benchmark ya uongozi kwa kuwa yeye ndie alieuwa kabisa democracy mmpaka kuwa hivi leo hii kwa sababu ambazo wengi wazijuao hawataki kuongea. Hila mimi binafsi so far natafsiri ni uchoyo kwa kuwa alijitambua yeye mwenyewe kwamba uwezo wake ulikuwa ni mdogo. Hivyo the best way to run a country in Mwalimu's perspective was to limit democracy ambayo inatu athiri leo sisi (hilo somo lingine) na maelezo mengine tena na siku nyingine.
 
Katika uongozi nadhani elimu ya stashahada ya uongozi inahusika
 
Back
Top Bottom