Kiwango salama cha pombe kinachokubalika kiafya kwa siku

Kiwango salama cha pombe kinachokubalika kiafya kwa siku

mparange

Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
21
Reaction score
28
Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku iwe bia, konyagi, wine, whisky nk.

Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne nachangamka kiasimnakwenda nyumbani naoga nakula vizuri balanced diet asubuhi naamka vizuri sana.

Je, nipo sahihi?
 
We kula pombe kwa uwezo wako haziui niamini mimi nishafanya tafiti kwa watu na nikajifanyia tafiti kwa mimi mwenyewe nishakunywa sana sana sana elewa maana ya sana
Na bado nipo naleta mapigo jf nazidi kuchilimua
 
Inategemea una pesa kiasi gani kwa kapuku mawazo ni pombe tosha ila kama bank at least una 5m na kuendelea ukipata 350ml zenye total concentration ya 36% its more than enough
 
Sina kiwango maalum ila kama ni mnywaji wa pombe muhimu zingatia kula, narudia zingatia kula mlo mzuri, pia punguzeni Mls za pombe kali yaani "spirit" konyagi, K vant na ndugu zao wengine.
 
Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku.iwe bia.konyagi.wine.whisky nk.

Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku.kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili .nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne.nachangamka kiasi.nakwenda nyumbani.naoga.nakula vizuri balanced diet. asubuhi naamka vizuri sana.je nipo sahihi.
Kuna units za pombe za kunywa kwa siku.
You can work out how many units there are in any drink by multiplying the total volume of a drink (in ml) by its ABV (measured as a percentage) and dividing the result by 1,000.
 
Kiwango sahihi cha pombe ni urefu wa wallet yako.

Marehemu bibi yangu amekufa na miaka 107 na alikuwa mlevi wa gongo!

Marehemu babu alifariki mapema kidogo na miaka 91 na alikuwa mlevi wa gongo pia!

Mimi ninayekunywa pombe za tbs ni wallet tu inaamua! (Jamani nilianza mwaka vizuri kwa kuacha kunywa pombe ila kasi niliyoanza nayo hivi karibuni shetani ananiogopa)
 
Pombe kali zinaharibu maini na ubongo, afadhali ungekuwa unakunywa hata beer

Ulizia ushauri kwa wataalamu wa afya sio wahuni wa JF
 
Kuna units za pombe za kunywa kwa siku.
You can work out how many units there are in any drink by multiplying the total volume of a drink (in ml) by its ABV (measured as a percentage) and dividing the result by 1,000.
Sawa mkemia
 
Nowdays kuna figo, sukari na gonjwa nyingine kama ini kufail.
 
download.jpeg
mwendo wa bapa na njegere
 
Back
Top Bottom