Huyo ni weweMwanaume: bia mbili kwa siku; mwanamke bia 1 kwa siku
Kulingana na tafiti na ushauri wa kiafya. Kama hutaki acha na endelea na yakoHuyo ni wewe
Kumbe Kuna watu wanahesabu, Mimi huwa nahesabu hela tuMwanaume: bia mbili kwa siku; mwanamke bia 1 kwa siku
Kuna units za pombe za kunywa kwa siku.Naomba kufahamu kiwango sahihi cha pombe kinachokubalika kwa siku.iwe bia.konyagi.wine.whisky nk.
Mimi huwa napenda sana konyagi na nakunywa kila siku.kiwango changu ni konyagi ndogo 200mls napata na club soda mbili .nakunywa kwa masaa matatu baada ya kazi kuanzia saa moja mpaka saa nne.nachangamka kiasi.nakwenda nyumbani.naoga.nakula vizuri balanced diet. asubuhi naamka vizuri sana.je nipo sahihi.
😀Kumbe Kuna watu wanahesabu, Mimi huwa nahesabu hela tu
Sawa mkemiaKuna units za pombe za kunywa kwa siku.
You can work out how many units there are in any drink by multiplying the total volume of a drink (in ml) by its ABV (measured as a percentage) and dividing the result by 1,000.