Plot4Sale Kiwanja bei rahisi 3.5m Mbagala

mwaps

Senior Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
157
Reaction score
127
Kiwanja kinauzwa mbagala rangi Tatu umbali wa mita 200 tokea Kilwa road. Kina sqm 221.Kina Leseni ya makazi(Hati za Manispaa).Eneo Kuzunguka limejengwa.

Nicheki chap kwa 0677089280.

Kiko sehemu iliyojengeka tayari.Ni pazuri kujenga nyumba ya kuishi au kupangisha sababu ni pa kutembea tu toka barabara kubwa ya Kilwa mpaka kwenye kiwanja.
 
Kiko sehemu iliyojengeka tayari.Ni pazuri kujenga nyumba ya kuishi au kupangisha sababu ni pa kutembea tu toka barabara kubwa ya Kilwa mpaka kwenye kiwanja.
Weka picha nyingine zikionyesha hiyo barabara
 
Kwa hizo sifa ulizotoa na hiyo bei uliyoweka ni too good to be true

Huko mbagala rangi 3 kiwanja kilipo majirani wa kiwanja hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kununua fasta hapo
 
Wewe kakione kwanza chief,nicheki kwa namba.Top 3m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…