Kiwanja kinauzwa mbagala rangi Tatu umbali wa mita 200 tokea Kilwa road. Kina sqm 221.Kina Leseni ya makazi(Hati za Manispaa).Eneo Kuzunguka limejengwa.
Kwa Mbagala Rangi 3 Mita 200 Hii Picha Kuna Muinuko Kama Picha Inavyoonyesha Je ni Upande Upi wa Shule ya Msingi Rangi 3 Au Nyuma Ya Terminal Mkono Wa kulia Au Njia Ya Charambe Au Upande Upi?