GISAMBO JF-Expert Member Joined Mar 14, 2014 Posts 1,195 Reaction score 1,933 Mar 31, 2022 #1 Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475
Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Mar 31, 2022 #2 Milioni 80 kiwanja bunju b ! Biashara njema mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,332 Reaction score 31,306 Mar 31, 2022 #3 Ukifika Bunju B unaingia kulia........ Kwahiyo mkuu nikitoka Tegeta naingia kulia na nikitoka Bagamoyo naingia kulia vile vile Haya sawa GISAMBO said: Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475 View attachment 2170492 Click to expand...
Ukifika Bunju B unaingia kulia........ Kwahiyo mkuu nikitoka Tegeta naingia kulia na nikitoka Bagamoyo naingia kulia vile vile Haya sawa GISAMBO said: Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475 View attachment 2170492 Click to expand...
Shangani JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 761 Reaction score 1,076 Apr 2, 2022 #4 Price per SQM ni Tsh. 48019 Umbali kutoka kiwanja kilipo Hadi posta ni Km ngapi? All the best.