Kiwanja Cha 112SQM kinawezekana kujenga gorofa?

felakuti

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
659
Reaction score
1,207
Wadau wa ujenzi

Naomba kuuliza kama kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 112 kama kinafaa kujenga gorofa la floor kwa idadi yoyote?

Natanguliza shukrani.
 
Kinachohusika zaidi kwenye idadi ya floor katika jengo ni uwezo wa udongo wa eneo husika kubeba mzigo (bearing capacity), sio ukubwa wa kiwanja

Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
 
Sawa
 
Eneo ni dogo, ila kujenga utajenga tu, isipokuwa inabidi upate design nzuri kulingana na eneo lako.

Call/ Whatsapp 0715477041
 
Back
Top Bottom