Hii ni sawa na miguu mingapi sio 10 kwa 10?Wadau wa ujenzi
Naomba kuuliza kama kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 112 kama kinafaa kujenga gorofa la floor kwa idadi yoyote?
Natanguliza shukrani.
Kinachohusika zaidi kwenye idadi ya floor katika jengo ni uwezo wa udongo wa eneo husika kubeba mzigo (bearing capacity), sio ukubwa wa kiwanjaWadau wa ujenzi
Naomba kuuliza kama kiwanja chenye ukubwa wa skweamita 112 kama kinafaa kujenga gorofa la floor kwa idadi yoyote?
Natanguliza shukrani.