Mkuu Erigue heshima yako
Mimi nafikiri kwa mazingira uliyo kutana nayo katika hii kesi yako uliamua kufanya conclusion kuwa jamaa ni tapeli kwa hilo sikulaumu,lakini kuna kila ushahidi wa kwamba huyu jamaa sio tapeli sababu amekuwepo hapa jukwaani kwa kutumia ID hii na namba ni hiyohiyo hajawahi badilisha.
Mimi ni mfuatiliaji sana wa matangazo ya viwanja na mashamba na huyu Dalali nimeshaona matangazo yake mengi sana kwa ID hii na anatambulika sana hapa jukwaani.
Kubwa kuliko yote nimesha fanya naye biashara na nilianza kumjua huko zoom baada ya kuona tangazo lake la shamba kigamboni.
Baada ya kusoma hii conversation yenu naona tatizo lipo kwa dalali sababu hakufanya verification ya mmiliki wa eneo,Yeye kama Dalali huwa anatafutwa na wamiliki ili atafute mteja hivyo hata yeye alikupeleka kwa kudhani ni mmiliki halali kumbe sio.Katika hili mkuu
Gazillionaire inabidi ujifunze
Ulicho kifanya ni kibaya sana mkuu
erique,ulitakiwa kumface mwenyewe na ikiwezekana kumshitaki kwa moderators sababu ID yake unaijua na mlionana face to face.Una muharibia mwenzio kazi yake kwa jambo ambalo kama ungechukua muda kidogo kulitafiti ungejua ukweli.Shutuma zako ni nzito sana aisee
Binafsi sina shaka na huyu Dalali na tumesha fanya biashara hana shida