Kiwanja cha bata chenye Totoz Classic kinachojaza Dodoma

Kiwanja cha bata chenye Totoz Classic kinachojaza Dodoma

kibovu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
702
Reaction score
759
Wakuuu poleni na majukumu.

Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Kuwa muangalifu dodoma jitahadhali na kinga kuna mzigo wa kutosha corona

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom