rakeyescarl JF-Expert Member Joined Dec 9, 2007 Posts 481 Reaction score 147 May 19, 2014 #1 Kiwanja cha biashara kilichopo mwambani beach tanga chenye ukubwa wa mita za mraba 11060 kina hati miliki ya miaka 99 bei nafuu sana wote mnakaribiswa mobile; 0652-915837
Kiwanja cha biashara kilichopo mwambani beach tanga chenye ukubwa wa mita za mraba 11060 kina hati miliki ya miaka 99 bei nafuu sana wote mnakaribiswa mobile; 0652-915837
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,650 Reaction score 21,014 May 19, 2014 #2 mradi wa bandari haufiki hapo?
Kipilipili JF-Expert Member Joined May 25, 2010 Posts 2,272 Reaction score 1,899 May 19, 2014 #3 Bei nafuu ndio bei gani? Weka bei mkuu