Plot4Sale Kiwanja cha kisasa kinauzwa: Mhandu, jijini Mwanza

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Kiwanja kinauzwa jijini Mwanza.

Wilaya: Nyamagana

Kata: Mhandu

Mtaa: Kisiwani
(Karibu na shule ya sekondari Mhandu)

Kiwanja kimepimwa na kina hati kamili ya umiliki.

Size: 30 kwa 30 (hatua za miguu za mtu mzima.

Kina tripu 4 za mawe.

Kimezungushiwa fensi.

Umeme na maji vipo.

Fensi ilishajengwa na njia ya kuelekea ndani inaonekana

MHANDU NI ENEO LILILOJENGEKA VIZURI (NYUMBA ZA KISASA) na kumetulia.



Bei: milioni 20

Mawasiliano: 0683011003
 
Huu ni uelekeo wa kuingilia ndani ya kiwanja

Nyumba yenye fensi kushoto mwanzo huyo ni jirani

Kwa mbele kidogo kuna mlango huo ndio mlango wa kuingilia kiwanjani
 
Picha zaidi.
Huu msingi ndio mpaka wa kiwanja.
Ukuta wake unaonekana kwa mbele kule
 
Akyanani! Ukiwa maskini, Mwanza hujengi.
Mkuu sio mwanza yote ina viwanja bei ghali hivyo.

Angalia eneo kiwanja kilipo
Angalia kimeshajengewa msingi na ukuta
Angalia kuna mawe ndani.
Kina hati tayari.

Hizi ni factors zilizoathiri bei

Bei haiwezi kuwa sawa na kiwanja plain.

Kuna maeneo kama kakebe, kisesa, fumagila, kishiri, nyanama, unapata viwanja chini ya milioni 5.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…