Plot4Sale Kiwanja cha kujenga hoteli kinauzwa Dodoma

steven13

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
341
Reaction score
178
KIWANJA KIZURI KWA BEI YAKUTUPA
_______
MAHALI-MEDELI WEST (MTAA WA SHOPPERZ/MORENA)
_______
UKUBWA-1698Sqm
_______
BEI-200M (FIXED)
________
MALIPO YA DALALI-10% (UNALIPA MTEJA)

0622111186/0767833496

INSTAGRAM @dalali_goodneighbour_dodoma


KWA WASIOPAFAHAMU

NB-MTAA HUU KUNA KUMBI ZA SHEREHE/MIKUTANO KAMA LEVANDA HALL,MABEYO HALL,NK

KUNA HOTELS MBALI MBALI KAMA NASHERA,MORENA HOTEL

SHOPPERZ,GOLDEN FOLK

MITA CHACHE KUTOKA OFISI KAMA BOT,NHIF,TAKWIMU HOUSE,JUDICIARY,KAMBARAGE TOWER,UKUMBI WA JAKAYA KIKWETE
 
Wewe uza kiwanja. Sio kazi yako kumpangia mnunuzi ajenge nini as long as ana-meet matumizi ya eneo hilo.
 
Hiyo 10% si uchukue kwa uliemtafutia mteja/muuzaji
 
Hiyo 10% si uchukue kwa uliemtafutia mteja/muuzaji
Ha ha ha! Huwa wanahisi mnunuzi ndiye mwenye shida; uniuzie halafu nilipie gharama za wewe kuniuzia; stupid! By the way, huwa wanapiga kote kote 10% x 2 = 20%.
 
Reactions: BRN
Ha ha ha! Huwa wanahisi mnunuzi ndiye mwenye shida; uniuzie halafu nilipie gharama za wewe kuniuzia; stupid! By the way, huwa wanapiga kote kote 10% x 2 = 20%.
Wengi wa madalali wana tamaa
Imagine mtu hata aibu haoni anakwambia 10% unalipa halafu anamfata mmiliki nae ampe chake
Yaani dalali kwenye 200M yeye anabeba 40M au zaidi
Shame on them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…