Kiwanja cha kujenga ofisi kinahitajika kununuliwa

Kiwanja cha kujenga ofisi kinahitajika kununuliwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308

Ukubwa wa kiwanja - Nusu eka au ekari moja na zaidi.
- Kiwanja kiwe na hati au katarasi zote muhimu za umiliki.

Mahali - Maeneo ya Kijitonyama, Msasani, Mikocheni, Kawe, Kinondoni, Sinza, Mwenge, Magomeni, Mbezi, kuelekea Bagamoyo, Survey, Ubungo, River side, Kibamba kuelekea kibaha. Au maeneo ya nje kidogo ya mji ambayo kuna uwezekano mkubwa wa mji kukua kuelekea huko.

- Maeneo hayo yawe na huduma zote muhimu kama barabara inayofikika kirahisi wakati wote wa mwaka, maji na umeme

- Eneo liwe zuri na linaloweza kuvutia wapangaji


MAWASLIANO.
0717 114409
0755 312233
0784225000

 
Back
Top Bottom