Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa Mpiji darajani,Mapinga

Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa Mpiji darajani,Mapinga

butron

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Posts
5,640
Reaction score
7,943
Kiwanja (Urefu 40m*25m)kipo sehemu ya makazi yaliyojengwa kisasa.Umeme na maji vipo.Umbali wa Km 1 kutoka Bagamoyo Road.Nyaraka zote za umiliki kutoka serikali ya mtaa zipo.Mimi si dalali ni mmiliki.Bei 25 milioni
Note:Hakijapimwa.
Simu:0787485629/0754856277
 
Back
Top Bottom