Kiwanja cha makazi na biashara kinauzwa.kipo dodoma kisasa B center.kina mita za mraba 846.kina hati.na kibali cha ujenzi.tayari kina msingi mkubwa wa mawe tupu.Ni eneo hot cake kwa wanaojua dodoma.Bei mil 70.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app