emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 475
Naomba namba yako ndugu, Kuna kitu tuteteVyumba kuwa vidogo sio kweli, ila wazo la ghorofa ni zuri pia
View attachment 1847010
View attachment 1847012
View attachment 1847013
View attachment 1847023
View attachment 1847026
View attachment 1847028
View attachment 1847031
Wakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Ndiokumbe maisha yanenda poa kuanza kumiliki gari then mjengo
Izo picha nimedownload ndugu, mimi sio mtaalamu wala msanifu wa majengoNaomba namba yako ndugu, Kuna kitu tutete
Hata Kiwanja Cha 20x20 sio Kiwanja muafaka kwa mtu anayependa vitu vizuriWakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
Lakini uzuri ni mtazamo tu mkuu,Hata Kiwanja Cha 20x20 sio Kiwanja muafaka kwa mtu anayependa vitu vizuri
Vitu vizuri havina uhusiano na ukubwa. Unaweza kuwa na 20*20 ukatoa kitu kizuri sana na unaweza kuwa na 40*40 ukatoa kituko tu.Hata Kiwanja Cha 20x20 sio Kiwanja muafaka kwa mtu anayependa vitu vizuri
Sikumaanisha mjengo. Ukiwa na eneo dogo, huwezi kuwa naeneo kwa ajili ya bustani ya mboga mboga, parking ya kutosha, etcVitu vizuri havina uhusiano na ukubwa. Unaweza kuwa na 20*20 ukatoa kitu kizuri sana na unaweza kuwa na 40*40 ukatoa kituko tu.
Ishu sio kupenda vizuri ishu ni mjengo usimame kwanza watu waache kupanga hio nyumba ya Leisure utaijenga ukishakuwa vyema kipesa!Hata Kiwanja Cha 20x20 sio Kiwanja muafaka kwa mtu anayependa vitu vizuri
Jamaa sijamuelewa kabisa hoja yakeVitu vizuri havina uhusiano na ukubwa. Unaweza kuwa na 20*20 ukatoa kitu kizuri sana na unaweza kuwa na 40*40 ukatoa kituko tu.
Mambo ya bustani ni mtazamo tu, Kuna raia hawana muda wa kupoteza wanatengeneza pesa tu mahitaji yatanunuliwa. 20x20 unapaki gari mbili vyema kabisa na kamjengo kakali tu mkubwaSikumaanisha mjengo. Ukiwa na eneo dogo, huwezi kuwa naeneo kwa ajili ya bustani ya mboga mboga, parking ya kutosha, etc
Ukiendekeza mambo ya kutaka heshima kwaajili ya nyumba unaweza kuishia kujilaumu maisha yako yote. Jenga ya uwezo wako vuta ndinga kali, nyumba haitembei banaIshu sio kupenda vizuri ishu ni mjengo usimame kwanza watu waache kupanga hio nyumba ya Leisure utaijenga ukishakuwa vyema kipesa!
Hahahahah heshima ya kazi gani bana mke na watoto wawe na kwao tu! Hilo la msingi sana nyumba basic kwanza kisha unaiendeleza kadri siku zinavyoenda mpaka inafikia kiwango cha kuridhishaUkiendekeza mambo ya kutaka heshima kwaajili ya nyumba unaweza kuishia kujilaumu maisha yako yote. Jenga ya uwezo wako vuta ndinga kali, nyumba haitembei bana
Kabisa mkuu!Hahahahah heshima ya kazi gani bana mke na watoto wawe na kwao tu! Hilo la msingi sana nyumba basic kwanza kisha unaiendeleza kadri siku zinavyoenda mpaka inafikia kiwango cha kuridhisha
Sikumaanisha mjengo. Ukiwa na eneo dogo, huwezi kuwa naeneo kwa ajili ya bustani ya mboga mboga, parking ya kutosha, etc
Unajenga vizuri Sana na parking unapata,wanaokubeza wako nyumba za kupanga Ila wengne tumejenga humo mzeeWakuu Kama kichwa kilivotanabaisha hapo juu,Kuna mahali nina kaplot ka ukubwa wa Meter 11x15 nataka nianze kukafanyia kazi.je naweza fyatua kanyumba ka chumba tatu na eneo la parking likabaki?
[emoji120]Ishu sio kupenda vizuri ishu ni mjengo usimame kwanza watu waache kupanga hio nyumba ya Leisure utaijenga ukishakuwa vyema kipesa!
Ndio maana mimi kila siku nasema nikijega chumba self-contained itakuwa mzuka sana hayo mengine tutaongezea kadri hela inavyopatikana...kodi inatesa sana, halafu ndio ukute mwenye nyumba wenyewe kauzuIshu sio kupenda vizuri ishu ni mjengo usimame kwanza watu waache kupanga hio nyumba ya Leisure utaijenga ukishakuwa vyema kipesa!
Hahahaha wale ambao wanategemea nyumba hio kuishi ni balaa😂😂😂Ndio maana mimi kila siku nasema nikijega chumba self-contained itakuwa mzuka sana hayo mengine tutaongezea kadri hela inavyopatikana...kodi inatesa sana, halafu ndio ukute mwenye nyumba wenyewe kauzu