Zakamwamoba
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 177
- 609
- Thread starter
-
- #41
Hiyo kawaida sana inategemea na mishe zako,Kuna mishe mtu inatakiwa uwahi afu ndo inakuingizia pesa so unaanza na usafir ili usave time kipato kiongozeke upate hela ya kujenga. Ila kama hela yako kupata kwa mwaka mara moja lazima utaanza kujenga.kumbe maisha yanenda poa kuanza kumiliki gari then mjengo
Umeona eehUkiendekeza mambo ya kutaka heshima kwaajili ya nyumba unaweza kuishia kujilaumu maisha yako yote. Jenga ya uwezo wako vuta ndinga kali, nyumba haitembei bana
Shimo unajenga hapohapo kwenye parking, unalisakafia, unatandika paving blocksMashimo ya choo na soakaway pit yatakosa nafasi
Hivyo vyoo vije kati ya master na room ya mwishonikiwa kwa kitanda peni na karatasi uwa havikosekani karibu yangu, na hii ndo wazo langu la haraka baada ya kuona hili bandiko. mchoro rahisi lkn wenye faragha kulingana na ukubwa wa kiwanja ambacho ni 11x15m. note: sijazingatia location ya kiwanja sbb sikijui
View attachment 1846543
Mkuu uko vizuri sanaVyumba kuwa vidogo sio kweli, ila wazo la ghorofa ni zuri pia
View attachment 1847010
View attachment 1847012
View attachment 1847013
View attachment 1847023
View attachment 1847026
View attachment 1847028
View attachment 1847031
yah inawezekana kabisa, lkn binfsi uwa napenda kuangalia faragha ya nyumba, ukiweka vyoo kama ulivyoshauri ina maana mgeni akitaka kwenda chooni atakua ameitembelea almost nyumba nzima sbb atapita dinning, master, kitchen na kwa karibu sana atakua amevikaribia vyumba vyote. nyumba nzur ni kwamba kama mgeni anataka kwenda toilet aishie mitaa hiyo hiyo ya sebuleni na sio kukross kwenye makorido ya kwendea vyumbani. pia ukiweka choo mbali kitawachanganya wageni na nirahisi kuingia vyumbani badala ya chooni labda uweka kibao kinachoonyesha toilet 🚻. sidhan kama utapenda!!!Hivyo vyoo vije kati ya master na room ya mwisho
Itakufa hii inafiti na parking unapataView attachment 1857457
Good try but dinning ya mita mbili ni ndogo sana. Nyumba ndogo huwa haziwekwi dinning.
Dinning ingeunganishwa na jiko au afanye open space design. Hicho kiwanja ukijenga ghorofa unapata nyumba na parking ya gari mbili na sehemu ya kuanikia nguo nyuma ya nyumba ndio unaweka mashimo ya majitaka. Ingia google tafuta nyumba za wafilipini check you tube AV properties utaona watu wanavyo shusha vitu kwenye space ndogoGood try but dinning ya mita mbili ni ndogo sana. Nyumba ndogo huwa haziwekwi dinning.
Jiko limekosa hata mlango mkuu? Ila umeweka vizuri.nikiwa kwa kitanda peni na karatasi uwa havikosekani karibu yangu, na hii ndo wazo langu la haraka baada ya kuona hili bandiko. mchoro rahisi lkn wenye faragha kulingana na ukubwa wa kiwanja ambacho ni 11x15m. note: sijazingatia location ya kiwanja sbb sikijui
View attachment 1846543
Apunguze au kuondoa kitchenGood try but dinning ya mita mbili ni ndogo sana. Nyumba ndogo huwa haziwekwi dinning.
Duuh! Hiyo kitchen umeiweka mkabala na sebule tena jirani kabisa na mlango wa mbele?Hii hapa, size 9m×7.5m, ikikuvutia waweza nitafuta nikakupa full documents na maelezo zaidi kuhusu site plan
View attachment 1846963
Duuh! Hiyo kitchen umeiweka mkabala na sebule tena jirani kabisa na mlango wa mbele?
Nyumba yenyewe haina hata exit door.
Sasa moto ukizuka kwa hiyo kitchen na kukamata chakula ya moto (furniture), si utachomeka humo ndani kama ndafu?