Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Hivi ili uwanja ujae unaweza chukua hadi watu wangapi maana tunaubishano me nilikuwa na sema uwanja unaweza chukua hata watu lak 1 kuna mwngine ana bisha sasa nimekuja kwenu kwa mtu anayejua ili nijue je uwanja hauwezi chuo watu lak 1( nazungumzia viwanja vya nchi mfano samora au cha kahama).
N:B
Hapa nazungumzia kipindi cha show yaani msaani akiwa anaperform mfano alikiba au diamond na kadhalika
N:B
Hapa nazungumzia kipindi cha show yaani msaani akiwa anaperform mfano alikiba au diamond na kadhalika