Mjomba side
Member
- May 3, 2024
- 72
- 96
KIWANJA kinachomilikiwa na chama cha NCCR MAGEUZI, kilichopo eneo la Mbopo, kata ya mabwepande, wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam kimeuzwa na matapeli wiki chache zilizopita.
Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Mbopo wamesema kuwa kiwanja hicho kimenunuliwa wiki chache zilizopita na mmiliki wa shule za KEN. Katika kiwanja hicho kulikuwa na ofisi ya NCCR MAGEUZI ambayo ofisi hiyo ilifungwa kutokana na kuyumba kwa chama hicho.
Wananchi wa Mbopo wamesema kuwa wanaumia kuuzwa kwa eneo hilo ambapo kumejengwa frem ambazo Bado hazijaezekwa zilizoanza kujengwa wiki kadhaa zilizopita.