Aisee, ngoja niangalie Bei ya nyumba pale Maralago jirani na Trump au maeneo ya California.
Bei ya beach plot Mbezi unaweza Kuta unanunua nyumba pale Dubai, hawa madalali wa kibongo hawaeleweki na hawako realistic wao wanavizia kupiga mshindo tu.
ndani ya viunga vya Basra - Iraq.