Habari!
Kiwanja chauzwa kipo Pugu Stesheni karibu na machinjioni. Pamejengeka, huduma za jamii zipo ikiwemo umeme. Ukubwa wake ni futi 67 kwa futi 58. Bei ni 4.8 milion . Kwa maswali karibuni hapa hapa, ila kwa mawasiliano (namba za simu) karibuni PM.
NB. Picha nitaweka baadae mtandao ukiruhusu.