Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Goba

Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Goba

dalalimhenga

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
27
Reaction score
6
Ukubwa wa Kiwanja 1000 sqm.
Kipo Goba, umbali wa kilomita moja kutoka barabara ya lami.
Vimepimwa na kina hati.
Bei ni Tshs 60,000,000 ( 60 Milioni )
Wasiliana nasi - 0742141467
20220228090240_1.jpg


20220228090240_2.jpg
 
Ukubwa wa kiwanja - 800 sqm.
Kina hati safi.
Eneo Goba centre, Karibu na Barbara ya lami.
Bei ni 45Milioni

Contact 0742141467

20220228071840_1.jpg
 
Nyie madalali mna shida sana,toka lini sqm 1 goba imefika thaman ya 60,000/- na mabonde na milima yte hyo.
 
Nyie madalali mna shida sana,toka lini sqm 1 goba imefika thaman ya 60,000/- na mabonde na milima yte hyo.
Boss Viwanja ambayo vipo karibu na barabara kuu ya Lami, thamani yake uwa Juu ukilinganisha na vile vilivyombali, hii ni sehemu zote sio goba tu. Pia viwanja vilivyopimwa vyenye hati thamani yake pia uongezeka.

Goba pia yapo maeneo unaweza kuyapata kwa bei ya chini, vipo viwanja hadi vya Milioni 5, lakini ndiyo hayana hati na pia yapo mbali na barabara ya lami ( umbali wa kilomita 4 au zaidi)

Karibu boss upate kiwanja goba
 
Back
Top Bottom