dalalimhenga
Member
- Feb 28, 2022
- 27
- 6
Boss Viwanja ambayo vipo karibu na barabara kuu ya Lami, thamani yake uwa Juu ukilinganisha na vile vilivyombali, hii ni sehemu zote sio goba tu. Pia viwanja vilivyopimwa vyenye hati thamani yake pia uongezeka.Nyie madalali mna shida sana,toka lini sqm 1 goba imefika thaman ya 60,000/- na mabonde na milima yte hyo.
Hiki ni didtancd gani toka barabara ya lami?Ukubwa wa kiwanja - 800 sqm.
Kina hati safi.
Eneo Goba centre, Karibu na Barbara ya lami.
Bei ni 45Milioni
Contact 0742141467
View attachment 2133734
Umbali wa mita 400 kutoka barabara ya lami.Hiki ni didtancd gani toka barabara ya lami?
Unahitaji kwa kukodisha au kununua?Naweza kupata sqmita 5 nifungue ofisi hapo goba?