MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 331
- 212
Mkuu bado maelezo hayatoshi:
- umeme upo jirani?
- Maji yapo jirani?
- Kiwanja ni chako au wewe ni dalali?
- Katika hilo eneo hakuna mgogoro na wafugaji?
- Bei ni kiasi gani?
Weka bei mkuu.KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilays ya Longido kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati. Kinapakana na eneo itakapojengwa Hospitali ya Wilaya. Process za mauziano zitashirikisha Mwanasheria na Afisa Ardhi wa Wilaya aliyeniuzia, ama vile mnunuzi atapendekeza. BEI NI NZURI MNO. SERIOUS BUYERS NI'INBOX
umeona pm yangu?
Mimi pia nahitaji mkuu nipe bei yako kaka