Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Mapwepande, Baa mpya 14m

Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Mapwepande, Baa mpya 14m

Mbikiboy

Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
89
Reaction score
86
Kiwanja kinauzwa,kipo Mabwepande (Bar Mpya), km 4 toka Bagamoyo Road Bunju,

Kina Sqm 447,
Kina Hati (Title Deed).
Bei ni Tshs.14,000,000.
Kwa maongezi piga simu namba 0677089280.

20210608_144517.jpg
 
Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo.
 
Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo.

Nini kimechangia kikashuka ghafla namna hiyo tena kwa tofauti ya Mill 6 ndani ya siku nne toka ulete tangazo lako..'?
 
Sqm 400 kwa laki nane? Bei ikifika 5m nicheck PM
 
Nini kimechangia kikashuka ghafla namna hiyo tena kwa tofauti ya Mill 6 ndani ya siku nne toka ulete tangazo lako..'?

Madalali huwa wanaweka bei za ajabu sana, kuna nyumba dalali alitangaza mil 80 ila baada ya week 2 bei ikashuka hadi 55. Huwa wanatafuta cha juu kupitiliza
 
Back
Top Bottom