M Mbikiboy Member Joined Feb 15, 2019 Posts 89 Reaction score 86 Jun 8, 2021 #1 Kiwanja kinauzwa,kipo Mabwepande (Bar Mpya), km 4 toka Bagamoyo Road Bunju, Kina Sqm 447, Kina Hati (Title Deed). Bei ni Tshs.14,000,000. Kwa maongezi piga simu namba 0677089280.
Kiwanja kinauzwa,kipo Mabwepande (Bar Mpya), km 4 toka Bagamoyo Road Bunju, Kina Sqm 447, Kina Hati (Title Deed). Bei ni Tshs.14,000,000. Kwa maongezi piga simu namba 0677089280.
M Mbikiboy Member Joined Feb 15, 2019 Posts 89 Reaction score 86 Jun 12, 2021 Thread starter #2 Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo.
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Jun 12, 2021 #3 Mbikiboy said: Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo. Click to expand... Ikifika 4,700,000 nistue..
Mbikiboy said: Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo. Click to expand... Ikifika 4,700,000 nistue..
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Jun 12, 2021 #4 Mbikiboy said: Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo. Click to expand... Nini kimechangia kikashuka ghafla namna hiyo tena kwa tofauti ya Mill 6 ndani ya siku nne toka ulete tangazo lako..'?
Mbikiboy said: Bei imeshuka sasa pata kiwanja hiki kwa 8,000,000 bila dalali.No discount hapo. Click to expand... Nini kimechangia kikashuka ghafla namna hiyo tena kwa tofauti ya Mill 6 ndani ya siku nne toka ulete tangazo lako..'?
me1 JF-Expert Member Joined Jan 24, 2015 Posts 367 Reaction score 422 Jun 12, 2021 #5 Sqm 400 kwa laki nane? Bei ikifika 5m nicheck PM
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,010 Reaction score 4,083 Jun 12, 2021 #6 6m kwa awamu karibu
2 20-05-20 Member Joined Jun 13, 2021 Posts 8 Reaction score 9 Jun 13, 2021 #7 Freyzem said: Nini kimechangia kikashuka ghafla namna hiyo tena kwa tofauti ya Mill 6 ndani ya siku nne toka ulete tangazo lako..'? Click to expand... Madalali huwa wanaweka bei za ajabu sana, kuna nyumba dalali alitangaza mil 80 ila baada ya week 2 bei ikashuka hadi 55. Huwa wanatafuta cha juu kupitiliza
Freyzem said: Nini kimechangia kikashuka ghafla namna hiyo tena kwa tofauti ya Mill 6 ndani ya siku nne toka ulete tangazo lako..'? Click to expand... Madalali huwa wanaweka bei za ajabu sana, kuna nyumba dalali alitangaza mil 80 ila baada ya week 2 bei ikashuka hadi 55. Huwa wanatafuta cha juu kupitiliza