MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 331
- 210
KIWANJA CHENYE HATI KINAUZWA...., kina ukubwa wa sq. 1,113 kipo Longido mjini karibu na H/Wilaya ya Longido-ARUSHA kipo mita chache sana kutoka barabara ya Arusha Namanga, Kimepimwa na Kina Hati. Kinapakana na eneo itakapojengwa Hospitali ya Wilaya. Process za mauziano zitashirikisha Mwanasheria na Afisa Ardhi wa Wilaya aliyeniuzia, ama vile mnunuzi atapendekeza. BEI NI NZURI MNO. SERIOUS BUYERS NI'INBOX