Plot4Sale Kiwanja chenye hati kwa matumizi ya sheli kinauzwa Goba

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
-Eneo lipo Goba karibu na njia nne,limeface barabara ya lami

-Ukubwa wa eneo ni square meter 2961

- Eneo lina hati kwa matumizi ya sheli

Bei: maelewano na mmiliki

mawasiliano: 0765494548
 
Weka bei ya kuanzia ndugu..mtu anapata picha na kujua kama aje kwenye mazungumzo au asije..

Hakuna bei ya maelewano isiyokuwa na pakuanzia hayo mazungumzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…