Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
vyumba viwili mkuu,karibuNyumba ina vyumba vingapi
exactly. NIDA kupita wanapouza nyama ya mbuzi jumamosiNapajua hapo jirani na NIDa na jirani na eneo langu
Panaitwa Loliondoexactly. NIDA kupita wanapouza nyama ya mbuzi jumamosi
Uko sahihi,wamejenga lami ya kwenda Bagamoyo nowdaysPanaitwa Loliondo
Aamin, nawe pia mkuuDah,, ! Kila la kheri
Mkuu aliesimama hapo mlangoni ndie wewe?
Wafikishie na wengine
Mita 20 kwa 20, karibuElezea ukubwa wa kiwanja
hiyo bei ya kiwanja cha pembeni,kama unataka bila nyumba,njooChukua 3m