Kiwanja chenye hati (sqm 1455) kinauzwa Mwanagati - Temeke, bei ni mil 20 (bei haipungui)

ntakisigae

Senior Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
187
Reaction score
66
Kiwanja hiki kimepimwa na kina hati ya kutoka ardhi,kiko nyuma ya uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere eneo liitwalo Mwanagati, huduma zote za maji na umeme vipo jirani, barabara ipo na inafika hadi hapo, pia kunana matofali takribani elfu tatu kama utayataka tutazungumza.Kiwanja hiki kiko katika mradi wa serikali wa viwanja elfu20 vilivyopimwa na kutolewa hati wa mwaka 2005,kwa hiyo hakuna utata na usiwe na shaka yoyote.

Ni kiwanja kizuri sana ambacho kina barabara ya mtaa kwa mbele, ambapo pia unataweza kuweka flemu za biashara nk.Eneo hilo limejengeka na lina nyumba za maana.Kiwanja kina hati na mchoro pia kutoka wizarani upo.

Ninahitaji mteja kwa haraka. Bei ni milioni 20 na haipungui.

Tuwasiliane kwa namba 0657011122 au unaweza kuniPM.Dalali haitajiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…