Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa - GOBA

Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa - GOBA

Mbona gharama ya mauzo ni kubwa sana mkuu?
 
Kama ulinunua kiwanja enzi za neema kwa taifa usithubutu kukiuza wakati wa taabu na madhira kwa taifa kwa sababu ukifanya hivyo, utalazimika kukiuza nusu ya bei uliyonunulia!!
 
Bei kubwa sana sijui unaweza kutupa mchanganuo umefikiaje kwenye hiyo bei kama utapendezwa.
 
kwenye elimu ya kuuza watanzania tunafeli sana.kuuza ni taaluma jamani inayohitaji skills.mimi pia nina vitu ninauza. Lakini kwa hiyo bei ni big NO!usisingizie eneo.tuache tamaa.anyway, ukimpata mteja wa hiyo bei ya 55m atakuwa na pesa za kuchezea.sorry to say this lakini
 
Tamaa mbaya yani M55, Goba ?!
Tatizo lake anataka kuuza pamoja na tofari, zege alilomwaga na gharama yote aliyotumia kujenga mpaka hapo.

Unapouza pagale wewe hesabu hasara tu na uuze kiwanja kama kiwanja maana si kila mtu utamlazimisha ramani uliyopenda wewe kwa kuwa akishanunua most likely atabomoa ajenge kitu anachopenda

M55 kwa Goba bado aisee!
 
Fanya 35k/sqr mita utauza mkuu...mwez uliopita bro wangu kachkua kwa 30mil maeneo hayo hayo
 
Back
Top Bottom