Yani kiwanja 12ml, tena hakuna hati, usawa huu wa jiwe, aisee hata kama hela imeshuka thaman, kisa tu kuna msingi, ambayo ramani haijulikaniSalaam
Kiwanja kinapatikana kitunda kituo cha Florida.
MAELEZO
kiwanja kina ukubwa wa meter 27 kwa 24 (sqm 648)
Kiwanja kina msingi tayari.
Kipo umbali wa meter 500 kutoka barabara kuu ya lami.
Urasimishaji bado unaendelea kwa kupandikiza bicons.
Offer : 12m (neg)
Contact: 0756 832833
View attachment 941768View attachment 941769View attachment 941770View attachment 941771View attachment 941772View attachment 941773View attachment 941774View attachment 941775
Kiwanja chenye hati huwezi kupata kwa 12m mkuu.Yani kiwanja 12ml, tena hakuna hati, usawa huu wa jiwe, aisee hata kama hela imeshuka thaman, kisa tu kuna msingi, ambayo ramani haijulikani
Yani kiwanja 12ml, tena hakuna hati, usawa huu wa jiwe, aisee hata kama hela imeshuka thaman, kisa tu kuna msingi, ambayo ramani haijulikani