ishedaddy
Member
- Mar 29, 2014
- 24
- 0
nyumba ipo kinyerezi dakika tano kutoka Mbuyuni ina sebule kubwa, na nafasi ya home office, dining room ya kutosha jiko,Store, Choo cha public, vyumba vitatu vya kulala kimoja ni Master bed room imezungushiwa ukuta umeme upo kiwanjani na Parking ya magari mpaka matatu gari linafika mpaka kwenye plot. Mil 75 tu
0713507487 / 0767507487 / 0782898210
0713507487 / 0767507487 / 0782898210