Ina maana mtaalamu macho yako hayana macho?Mkuu hiyo napo mbele ni njia ya maji
Ninauliza kuconfirm mkuuIna maana mtaalamu macho yako hayana macho?
Jibu vizuri wateja,unless huna shida na hela.Ina maana mtaalamu macho yako hayana macho?
Ndio Boss WanguMkuu hiyo napo mbele ni njia ya maji
Hapo ukipata wataalam wazuri wanakurekebishia kwa bei nafuu kabisaKujenga hapo inabidi uwe na hela kweli kweli kuepa hayo maji.
Mkuu hiyo napo mbele ni njia ya maji
Ofa yako sio mbaya sana...ingekuwa vyema zaidi kama tungewasiliana ukaja kupaona ndio tukae mezaniChukua 12