Habari zenu wakuu?
Kuna kiwanja chenye ukubwa wa mita 100 na Upana wa mita 42,ambacho kina nyumba yenye vyumba vinne vya kulala,sebule,dining na jiko,ina mita yake ya LUKU na maji inauzwa MILIONI MIA MBILI.
Hiyo nyumba imejengwa kwenye eneo nusu la kiwanja hicho na nusu nyingine ya kiwanja ipo tupu.
Pia kwa mtu anayetaka kupanga hiyo nyumba bei ni LAKI TATU NA NUSU KWA MWEZI,KODI INATAKIWA ISIPUNGUE MIEZI SITA ONGEZA NA MWEZI MMOJA WA DALALI.
NYUMBA IPO SAKINA KATI YA KITUO CHA SILLENT IN NA KITUO CHA DARAJANI.UMBALI WA MITA 40 TOKA BARABARA YA NAMANGA/NAIROBI.
MAWASILIANO: 0752489529 AU NI PM.
KARIBUNI WOTE.