Kiwanja Chenye square meters 290 kinafaa kujenga nyumba?

Kiwanja Chenye square meters 290 kinafaa kujenga nyumba?

Ay_sher

Member
Joined
Oct 24, 2024
Posts
17
Reaction score
40
Habari za wakati huu wana jf,
Hivi Kiwanja chenye square meters 290 kinatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu, dinning, sebule, kitchen na public toilet?
 
Kikubwa sana icho!! Hicho changu 190 natoa apartment 2 na frem za maduka tatu na parking ya gari mbili
 
Attachments

Sio kweli
wewe utakuwa H kunani, mtu yoyote anayejua hesabu hawezi kuanzisha uzi kama huu. (narudia anaejua hesabu).

mfano kuna mtu alianzisha uzi tiles box ngapi zitatosha nyumba yake(alitaja nyumba bila dimensions), sasa mtu kama huyu anajua hesabu?

Huwezi kuwa engineer kama hujui hesabu, maana yake ukiwa una jua hesabu huwezi kushindwa kujua ukubwa wa nyumba na kiwanja kama vinaendana.
 
kama ni kwa makazi ya familia kiwanja cha ukubwa huo ni cha mabanda labla kwa CBD areas where you can build frames, small parking etc. Ila majengo yanatosha ila hautofauta taratibu kama plot coverage ratio, setbacks etc
 
Kuna kitu nimekupata kwa maneno yako.

Upande wa ndani na nje biashara. Good brain
 
Back
Top Bottom