KIWANJA CHENYE UKUBWA WA HEKA MOJA NA CHENYE HATI KINAUZWA

saidaty

Senior Member
Joined
Oct 3, 2018
Posts
193
Reaction score
162
Bei ni milioni 55 ( milioni hamsini na tano maongezi yapo kidogo sana
Kiwanja kipo sehemu nzuli sana
Kiwanja hakina bonde hata moja
Umeme na maji tayali vimeshafika
Kiwanja kipo Mkoa wa Dar es salaam Tanzania maeneo ya KITUNDA FLEM KUMI NYANG'ANDU ni dakika 3 kutoka lami kuu mpaka kufika kwe kiwanja.













































































+255717671240
+255693204813
+255757482042
KWAMAHITAJI YA NYUMBA ZA KUPANGISHA ZA BEI AU ZA BEI KUBWA, NYUMBA ZA KUNUNUA VIWANJA MAGARI KWA BEI POA....... NK....... Dalali Papaa.tz.7 usisahau kumfolo kwenye ukurasa wake wa istagram kalibuni sana mteja kwetu ni mfalme.
 
Sehemu NZULI sana na Umeme TAYALI....HONGELA SANA.
 
Umeleta mada na kujijibu mwenyewe. Aina ya mwandiko kwenye post #1 na #2 na #3 imefanana. Kutokujua tofauti ya 'R' na 'L' kwenye post zote mbili.
 
Umeleta mada na kujijibu mwenyewe. Aina ya mwandiko kwenye post #1 na #2 na #3 imefanana. Kutokujua tofauti ya 'R' na 'L' kwenye post zote mbili.
Wewe ni Great 'Sinker'

Jamaa anamnanga wewe unasema multiple ID...Kaazi kweli kweli
 
Umeleta mada na kujijibu mwenyewe. Aina ya mwandiko kwenye post #1 na #2 na #3 imefanana. Kutokujua tofauti ya 'R' na 'L' kwenye post zote mbili.
Pore Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…