Plot4Sale Kiwanja Chenye Ukubwa Wa Sqm za Mraba 560 Kinauzwa Tegeta Masaiti Dar es Salaam

Plot4Sale Kiwanja Chenye Ukubwa Wa Sqm za Mraba 560 Kinauzwa Tegeta Masaiti Dar es Salaam

predizen

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
206
Reaction score
214
Hati ya kiwanja ipo

Huduma muhimu za kijamii zipo; maji ya Dawasco, umeme, huduma za afya, maduka, shule havipo mbali.

Eneo ni tambarare halituami maji kipindi cha mvua

Eneo hili linafaa kujenga makazi

Bei ubaoni ni 65 million

Tuwasiliane kupitia namba hii 0625 601 589 karibu kuzungumze...kwa picha zaidi za kiwanja zipo za kutosha.

IMG_20220302_191109_239.jpg
20220302_182521.jpg
 
Back
Top Bottom