Plot4Sale Kiwanja chenye ukuta Mbweni kinauzwa

mmewadadako

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
534
Reaction score
844
kiwanja kina ukubwa wa square meter 713

- kina hati miliki

- kiko barabarani( barabara ya lami ya mbweni)

- kimezungushiwa ukuta mrefu mpaka juu

- bei maelewano (piga simu)

Mawasiliano: 0765 494 548
 
kweli unachosema mkuu..ila acha tu nimfahamishe ili ajua hali halisi ya maeneo
Mkuu sio kila mtu wakumjibu mbweni viwanja vya bei ya 50m ndo bei zake hizo huyo anaesema ananunua nyumba Achana nae
Acha aende chanika akanunue zipo nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…