K kitongoji Member Joined Apr 27, 2012 Posts 5 Reaction score 2 Jun 24, 2013 #1 waungwana, je ni utaratibu gani wa kufuata pindi ninapotaka kubadili hati ya kiwanja yenye majina mawili na libaki moja na mm mwenye ni mmojawapo wa majina hayo yalipo kwenye hati, msaada tafadhali
waungwana, je ni utaratibu gani wa kufuata pindi ninapotaka kubadili hati ya kiwanja yenye majina mawili na libaki moja na mm mwenye ni mmojawapo wa majina hayo yalipo kwenye hati, msaada tafadhali
ndendi JF-Expert Member Joined Nov 29, 2012 Posts 625 Reaction score 183 Jun 24, 2013 #2 kwa nini unataka kubadili?